Sales & POS
Rekodi na simamia mauzo kwa haraka kupitia mfumo wa POS. Inasaidia biashara kufanya mauzo kwa urahisi na usahihi.
Track sales, stock, and payments in one secure, easy-to-use system built for Tanzanian shops.
Simamia mauzo, manunuzi, na matumizi katika mfumo mmoja salama na rahisi.
Rekodi na simamia mauzo kwa haraka kupitia mfumo wa POS. Inasaidia biashara kufanya mauzo kwa urahisi na usahihi.
Dhibiti stoo zako kwa ufanisi, jua bidhaa zilizopo, zinazokaribia kuisha, na thamani ya bidhaa zako.
Pata ubashiri wa mauzo, mapato, na ushauri wa kibiashara. Otsar hukusaidia kufanya maamuzi sahihi kwa kutumia takwimu zako.
Ripoti za mauzo, manunuzi, na stoo kwa wakati halisi. Jua afya ya biashara yako kwa mtazamo mmoja.
Ongeza wafanyakazi na uwape ruhusa tofauti (Admin, Cashier). Dhibiti nani anafanya nini ndani ya mfumo.
Mfumo rahisi kutumia kwa kila mfanyabiashara. Huhitaji ujuzi wa kompyuta ili kuanza kutumia Otsar.
Otsar inafanya kazi kwenye simu, tablet, na laptop — bila ku-download chochote. Bonyeza Install, na app itajiweka moja kwa moja kupitia browser yako, kisha uitumie kama app ya kawaida popote ulipo.
Otsar ni mfumo wa cloud — taarifa zako zinahifadhiwa salama kwenye server, na unaweza kuziona kutoka kifaa chochote chenye internet. Uwe dukani, nyumbani, au safarini, biashara yako iko mkononi mwako.
Otsar imeundwa mahsusi kwa wafanyabiashara wa Tanzania — mfumo wa kuaminika, nafuu, na wenye msaada wa karibu.
Fikia biashara yako kutoka kifaa chochote chenye internet — hakuna installation ngumu, fungua tu na browser.
Msaada wa haraka kwa Kiswahili kupitia WhatsApp, kutoka timu iliyopo hapa Tanzania.
Bei nafuu kwa biashara ndogo na kubwa, na free trial. Hakuna gharama kubwa za hardware au vifaa maalum.
Taarifa za biashara yako zimehifadhiwa kwenye server salama, kwa kutumia password na ruhusa za watumiaji.
Tumia mfumo kwa Kiswahili au English — lugha unayoielewa, kwa ajili yako na wafanyakazi wako.
Fungua biashara yako kwenye simu, tablet, au laptop — taarifa zile zile zinaonekana kila mahali kwa wakati mmoja.
Pata taarifa mpya, masasisho ya mfumo, na vidokezo muhimu vya kukuza biashara yako kupitia Otsar.